banner banner banner
Jinsi Ya Kupata Mme
Jinsi Ya Kupata Mme
Оценить:
Рейтинг: 0

Полная версия:

Jinsi Ya Kupata Mme

скачать книгу бесплатно

Jinsi Ya Kupata Mme
Emmanuel Smith

Baadhi ya wanawake, uhitaji wa mme inaweza kukamilisha mtindo wao wa maisha, wengine inaweza kuwa ni mkono wa msaada ndani na nje ya nyumba, na baadhi yao inaweza kuwa uhitaji wa kuanzisha familia, nakadhalika.Hiki kitabu sio kwaajili ya kuchambua sababu,kinatoa ushauri mfupi wa namna ya kuifanya ndoto ya kila mwanamke ya kuwa na ndoa inakamilika...kwa chini ya dakika 60

Jinsi Ya Kupata Mume

EMMANUEL SMITH

Kimetafsariwa Na: Emmanuel Satongima

Hakimiliki © 2021 Emmanuel Smith

KUHUSU MWANDISHI

Emmanuel Smith ni mwandishi Nguli na Mzungumzaji wa hadhara.

YALIYOMO

Utangulizi

Anaonekanaje?

Unaonekanaje?

Unahitaji kwenda kutafuta.

Usijionyeshe mkali sana.

Baki kuwa wewe.

Onyesha shauku yako.

Mfanye acheke.

Ongea kidogo, sikiliza sana.

Tengeneza urafiki na marafiki zake…………………………………………………20

Jihusishe na vitu anavopenda.

Endelea na maisha yako.

Mtulize……………………………………………………………………………………………23

Usimtumie kwa manufaa yako.

Ni rafiki au mume?

Ni mwanaume wako, au mama ushauri wake?

Usijihujumu mwenyewe.

Anahitaji kuwa mume wako?

Pima shauku yake kuhusu Ndoa.

Onyesha kujali Shughuli zake.

Onyesha unajali masuala yako ya kifedha .

Kuwa mwanamke wa kawaida.

Usiharakishe mambo.

Punguza matarajio yako.

Ruhusu Uhusiano wako kukua.

Kimsingi acha kutavuta.

Utangulizi

Habari! Hongera kwa uamuzi wa kumtafuta mwenzi wa Maisha. Kwasababu unasoma kitabu hiki, ninaamini umeona ni kitu sahihi kufanya.

kwanini unahitaji mume sio kitu muhimu kwangu, wala kwa mtu mwingine yoyote. Inawezekana ni kwa ajili ya kujiongeza sifa kwenye maisha, baadhi yao ni kupata msaidizi ndani na nje ya nyumba, kwa wengine, uhitaji wa kuanzisha familia, na sababu nyingine nyingi. Kitabu hiki sio kwa ajili ya kuchambua sababu ulizonazo. Bali ni kusaidia ushauri wa namna ya kufanya matamanio yako kuwa kweli.

Ninafahamu hauna muda wa kusoma vitu vingi vitakavyokupa hasira. Kwahiyo, twende tulimalize hili, nina matumaini chini ya dakika 60 tutakuwa tumemaliza.


Вы ознакомились с фрагментом книги.
Для бесплатного чтения открыта только часть текста.
Приобретайте полный текст книги у нашего партнера:
Полная версия книги
(всего 220 форматов)