Jinsi Ya Kupata Mme (Emmanuel Smith)

Jinsi Ya Kupata Mme (Emmanuel Smith)
Автор: Emmanuel Smith
Язык: sw
Размер: 1509588 Кб
ISBN: 9788835419549
Перевод: Emmanuel Satongima
Полная версия:
Описание книги:
Baadhi ya wanawake, uhitaji wa mme inaweza kukamilisha mtindo wao wa maisha, wengine inaweza kuwa ni mkono wa msaada ndani na nje ya nyumba, na baadhi yao inaweza kuwa uhitaji wa kuanzisha familia, nakadhalika.Hiki kitabu sio kwaajili ya kuchambua sababu,kinatoa ushauri mfupi wa namna ya kuifanya ndoto ya kila mwanamke ya kuwa na ndoa inakamilika…kwa chini ya dakika 60