banner banner banner
Nukuu Sabini Zenye Msukumo Ma Motisha
Nukuu Sabini Zenye Msukumo Ma Motisha
Оценить:
Рейтинг: 0

Полная версия:

Nukuu Sabini Zenye Msukumo Ma Motisha

скачать книгу бесплатно

Nukuu Sabini Zenye Msukumo Ma Motisha
Wael El-Manzalawy

”Kutofaulu ni uzoefu. Anayeweza kufaidika na uzoefu  ndiye atakayekuwa mshindi.” - Wael El-Manzalawy. Nukuu moja laweza badilisha maisha yako. Maisha yako haijasimama palepale. Unaweza kubadilisha maisha yako. Kitabu hiki cha mtandaoni inahusisha nukuu sabini zenye msukumo na motisha ambazo ni misemo ya wafikiriaji wa kimataifa

Nukuu sabini zenye msukumo ma motisha

Wael El-Manzalawy

Published by Tektime, 2021.

Nakuu Sabini Zenye Msukumo na Motisha

Na

Wael El-Manzalawy

Imetafsiriwa na

Ephraim Kamau Njoroge

Haki Miliki 2012 Wael El-Manzalawy

Kuhusu Mwandishi

Wael El-Manzalawy ni mwandishi Mmistri. Alizaliwa mwaka wa 1973. Alihitimu shahada kutoka Idara ya Kingereza katika Kitivo cha Sanaa. Ako na Diploma kutoka Kitivo cha Elimu. Alihitimu kutoka taasisi ambayo hutayarisha wasomi wa Ki-Islamu. Yeye huandika nakala na hadithi fupi kwa Kiarabu na Kingereza. Nakala zake na hadithi fupi zimechapishwa kwenye gazette nyingi, jarida na kwenye mtandao. Amezichapisha jumla ya vitabu 22 vya mtandaoni. Vitabu vyake zimetafsiriwa kwa zaidi ya lugha Kumi.


Вы ознакомились с фрагментом книги.
Для бесплатного чтения открыта только часть текста.
Приобретайте полный текст книги у нашего партнера:
Полная версия книги
(всего 190 форматов)