banner banner banner
Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha
Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha
Оценить:
Рейтинг: 0

Полная версия:

Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha

скачать книгу бесплатно

Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha
Wael El-Manzalawy

”Kushindwa kunaweza kukuangamiza ikiwa wewe ni mdhaifu, lakini ikiwa wewe una nguvu, unaweza kushinda kutofaulu.”-Wael El-Manzalawy Nukuu moja inaweza kujumlisha kimustasari wazo la sura nzima.  Kitabu hiki kina nukuu kadri ya 150 zilizoandikwa na wasomi wengi wa kimataifa.

Nukuu 150 kuhusu Mafanikio na Maisha

Na

Wael El Manzalawy

Imetafsiriwa na

Ephraim Kamau Njoroge

Yaliyomo

Ukurasa wa kichwa (#u25fee4a1-2fea-579a-bbef-c89827371533)

Kuhusu Mwandishi (#u059b25d8-1f06-5cb5-9fd2-faf8a6762307)

Utangulizi (#u2d4e35fe-94e4-5f77-a43e-108164e0c3a7)

Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio na Maisha (#u8faf101b-8133-5b21-a550-1d7125fe45f2)

Kuhusu Mwandishi

Wael El-Manzalawy ni mwandishi Mmisri. Alizaliwa mwaka wa 1973. Alihitimu shahada kutoka Idara ya Kingereza katika Kitivo cha Sanaa. Ako na Diploma kutoka kitivo cha Elimu. Alihitimu kutoka taasisi ambayo hutayarisha wasomi wa Ki-Islamu. Yeye huandika makala na hadithi fupi kwa Ki-Arabu na Ki-Ingereza. Makala yake na hadithi fupi zilichapishwa kwenye gazette nyingi, jarida na kwenye mtandao. Amezichapisha jumla ya vitabu 22 mtandaoni, kwa Ki-Ingereza. Vitabu vyake vimetafsiriwa kwa zaidi ya lugha 10. Wanaosoma vitabu vyake ni takriban 500,000.

Utangulizi

"Tupa jiwe kwenye maji yaliyotulia. Unaweza ukabadilisha ulimwengu."-Wael El-Manzalawy Nukuu moja inaweza kujumlisha kimustasari wazo la sura nzima. Unaweza ukahifadhi miaka mingi maishani kwa kusoma nukuu moja. Kitabu hiki kina nukuu kadri ya 150 zilizoandikwa na wasomi wengi wa kimataifa. Natumai kwamba kitabu hiki kitakuwa cha msaada. Ninatazamia kuyaona maoni yako.


Вы ознакомились с фрагментом книги.
Для бесплатного чтения открыта только часть текста.
Приобретайте полный текст книги у нашего партнера:
Полная версия книги
(всего 210 форматов)